ONYO! Usijaribu Kubadili Maisha Yako Kabla Hujasoma Huu Ujumbe Mpaka Mwisho…
Rafiki yangu mpendwa… Kabla hata sijakuambia chochote, kuna jambo moja nataka nikuulize. Usiogope… si mtihani. Sihitaji jibu lako kwa sauti. Jijibu moyoni mwako tu.
Ulishawahi kukaa peke yako ukahisi kwamba kuna nguvu kubwa sana ndani yako… nguvu ambayo unajua kabisa ipo, lakini maisha, presha, majukumu, na mfumo wa dunia imeikandamiza kimya kimya?
Ulishawahi kuhisi kama kuna “wewe mwingine” ndani yako mwenye uwezo zaidi, ujasiri zaidi, maono zaidi, lakini kila ukitaka kumtoa nje, kuna kitu kinakuzuia?
Kama jibu lako ni NDIO, basi fahamu hili kwa uhakika: Hauko peke yako.
Na wala hujachelewa. Na wala hujaharibikiwa. Na wala hauko nyuma kama unavyohisi…
Tafiti nyingi zinaonesha kuwa zaidi ya 80% ya watu duniani kote wanaishi chini ya kiwango chao cha utambuzi.
Na, wanatembea, wanafanya kazi, wanacheka… lakini ndani hawako huru.
Wanaamka kila siku wakiwa na roho nzito. Maisha yanakuwa magumu kuliko kawaida.
Kipato hakikui licha ya juhudi nyingi. Furaha inapungua taratibu kama moshi unaopotelea angani.
Na mbaya kuliko yote maamuzi yao yanaongozwa na kile dunia imewaambia, si kile nafsi yao inawaambia.
Ukweli mchungu ni kwamba, ukikaa kimya kwa muda mrefu kwenye maisha ya namna hii, huanza kupoteza thamani yako bila hata kukusudia.
Unakuwa kama mfungwa wa gereza ulilolijenga mwenyewe kwa matokeo ya maumivu ya zamani, kukatishwa tamaa, na sauti za dunia zilizo juu kuliko sauti yako ya ndani.
Na najua, kwa namna ulivyo mtu makini, huenda umewahi kujikuta umevaa uso wa nguvu lakini ndani hauko sawa.
Unatembea, lakini huoni unakoenda. Kila siku inakuongezea mashaka.
Unajisukuma lakini huelewi kama unasogea. Na wakati mwingine kesho inaonekana inakutisha kuliko jana…
Lakini hebu jiulize kwa uaminifu: Kama kila kesho inaonekana mbaya, unadhani maisha yatabadilika lini?
Hiki ndicho wengi hawajawahi kukaa chini kukitafakari. Wamejifunza kuishi kwa mazoea.
Wamejifunza kuridhika na kiwango ambacho si chao. Wamejifunza kupunguza sauti yao ili kukidhi matarajio ya dunia.
Lakini leo si siku ya kuendelea na mazoea. Leo si siku ya kuficha uwezo wako tena.
Leo imeletwa kwako kwa sababu kuna jambo unahitaji kulijua: Sauti ya ndani yako imechoka kuongea polepole. Inataka ubadilike.
Na hapa ndipo King Mentorship Program imeundwa kwa ajili ya watu kama wewe.
Inaingia kama mwanga unapokuwa umezungukwa na giza. Kama mkono unaokutoa pale ulipokwama, hata kama hujasema kwa sauti.
Hapa tunafungua kile ambacho maisha yamekuwa yakikuficha.
Hapa ndipo unakutana uso kwa uso na yule “WEWE HALISI” ambaye ulimficha kwa miaka mingi.
Hapa utambuzi binafsi haufundishwi kama somo bali kama uzoefu unaokupeleka hatua kwa hatua kutoka eneo ulilopo kwenda sehemu uliyoandaliwa kwenda…
Unaanza kuishi kwa sauti yako. Unaanza kufanya maamuzi kwa uhuru. Unaanza kuona safari yako na kusikia mwelekeo wako. Unajiamini. Unajitawala. Unajijenga kimfumo. Unatengeneza kipato kwa kutumia uwezo wako wa kweli, usiotokana na presha ya dunia bali sauti ya ndani.
Na hapa ndipo unapogeuka kuwa mtu ambaye familia inamtegemea, jamii inamwiga, watu wanamthamini, na hatima yake inampa sababu ya kusimama imara kila siku.
Naona unajiuliza kwa mashaka rohoni mwako:
"Kwa faida kubwa hivi… bei yake lazima imechangamka!"
Hahaha, relax! …Huhitaji mkopo… Huhitaji kuuza simu… Huhitaji hata pressure ya kutafuta pesa kubwa…
Bei ya kawaida ni TSH 50,000/= kwa mwezi.
Lakini kwa kuwa huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka, nakupa ofa ya TSH 30,000 tu. …Yes, 30,000/= tu.
Lakini sikiliza hii vizuri:
OFA ni kwa masaa 24 tu
Na ni kwa watu 5 tu
Ukichelewa hata dakika, nafasi ikiisha… imeisha.
Na ili uone kwamba nimekupa thamani ya kweli si maneno tu, nikikuona umejinyakulia nafasi leo napenda nikupe zawadi hizi bure:
Free consultation: (thamani 30,000/=)
Kitabu “Nguvu ya Maono”: (10,000/=)
Kitabu “Fedha Ni Haki Yako”: (10,000/=)
Wawili wa kwanza kupata ofa watapewa punguzo la 10% zaidi.
“Na vipi kama nisipate matokeo...?”
Jibu ni rahisi sana… Utarudishiwa fedha zako zote bila swali, na nitakuandikia barua rasmi ya kuomba radhi.
Risk iko upande wangu, si wako.
Hivi ndivyo unavyojinyakulia nafasi yako:
1. Lipa kupitia M-Pesa: 0744 284 329 jina litakuja (Emmanuel S. King'ung'e)
2. Chukua screenshot: Tuma Kwenda WhatsApp no: 0744 284 329
KUMBUKA: Kesho bora inaanza na uamuzi mmoja tu wa leo.
Na hiki ndicho kitu ambacho nafsi yako imekuwa ikiomba muda mrefu.
Usichelewe… Usijipe visingizio… Usisubiri mwaka mwingine ufike…
Fanya jambo ambalo WEWE WA NDANI amekuwa akisubiria kwa muda mrefu.
Comments
Post a Comment